Historia ya uandishi wa Qurani, kwa mujibu wa Uislamu, imeteremshwa na Mwenyezi Mungu kupitia Jibrili mmojawapo wa Malaika wakubwa wenye heshima kubwa huko mbinguni. Qurani iliteremka kwa njia ya Wahyi au Ufunuo katika muda wa miaka 23 ya utume wa Muhammad.